Mo Salah anaiacha Liverpool na EPL na kumbukumbu zisizosahaulika
Mohamed Salah ataondoka Liverpool msimu huu akiwa miongoni mwa wachezaji bora kabisa kuwakilisha klabu hiyo na kung'ara katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL)
Takwimu za Salah zinaonyesha mafanikio yake kwa uwazi, lakini zaidi ya hiyo, kuna hadithi kubwa nyuma ya namba hizo. Mashabiki zake pale Anfield, ambao wanamuita 'Mfalme wa Misri',...
