Nchi tano zenye furaha zaidi duniani mwaka 2026
- Author, Lindsey Galloway
- Nafasi, BBC
- Muda wa kusoma: Dakika 6
Ingawa nchi za Nordic zimetawala Ripoti ya Furaha Duniani kwa muda mrefu, lakini mwaka 2026 umeleta mshangao mmoja kwani ni mara ya kwanza katika historia ya miaka 14 ya ripoti hiyo, nchi ya Amerika Kusini imeingia katika tano bora. Nchi ya Costa Rica imepanda hadi nafasi ya nne, iki...
