Jinsi vifaa vya kielektroniki vinavyoathiri miili yetu
Vifaa vya kielektroniki huathiri mwili wako kwa njia ambazo huenda huna habari, lakini bado unaweza kuchukua hatua za kupunguza athari hizi.
Tunapowaza kuhusu athari za matumizi yetu ya simu za rununu, huwa tunazingatia zaidi upande wa kisaikolojia. Lakini hivi majuzi, niligundua uvimbe mdogo, mgumu kwenye kidole changu, haswa mahali simu yang...
