Jeshi lenye nguvu zaidi barani Afrika lafichua mfumo wa siri wa makombora wa Urusi
Misri imeonyesha hadharani mfumo wake wa ulinzi wa anga wa S-300VM uliotengenezwa nchini Urusi kwa mara ya kwanza, zaidi ya muongo mmoja tangu kuibuka kwa taarifa kwamba Cairo ilikuwa imepata vifaa hivyo kupitia mkataba wenye thamani ya zaidi ya dola bilioni 1, ikiwa ni sehemu ya makubaliano mapana zaidi ya ununuzi ...
